VODACOM YAKABIDHI BIMA 200 KWA AKINA NA MAMA NA WATOTO PAMOJA NA ZAWADI KWA WASHINDI MBALIMBALI IKIWEMO PESA TASLIMU SHILINGI MILIONI 10 JIJINI MBEYA.
Mshindi wa pesa taslimu shilingi milioni 10 kupitia kampeni ya Vodacom Tanzania PLC inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, Bi. ...