Taarifa
zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo cha
kuaminika,zinaeleza kuwa Basi la kampuni ya GAMET Transport limepata
ajali maeneo ya Kibiti wilaya ya Rufiji-Utete mkoa wa Pwani baada ya
kutaka kumkwepa mtu anayedaiwa kuwa na tatizo la akili,lakini kwa bahati
mbaya likamgonga na kufariki papo hapo,taarifa zaidi zinaeleza kuwa
baada ya ajali hiyo basi hilo liliacha njia na kupinduka na kupelekea
kifo cha mtu mmoja aliyegongwa na wengine waliokuwemo ndani ya basi hilo
(idadi ya abiria haikujulikana mara moja) kujeruhiwa.![]()
Meli Yateketea Kwa Moto Carlifonia, Watu Zaidi Ya 8 Wapoteza Maisha
Meli yenye urefu wa mita 22 iliyokuwa...
Read more