Mwanaharakati Mzalendo

ANNIE IDIBIA AFURAHIA TUZO ZA MUMEWE

annie

Mke wa Mwanamuzi nguli wa Nigeria 2 Face Idibia ameweka picha inayomuonyesha akiwa kwenye kabati la tuzo alizozipata baba watoto wake katika muziki.
Annie Idibia mbaye ni mama wa watoto wawili aliweka picha hiyo Instagram na kuipamba kwa maneno murua kabisa ya kumsifia mumewe kuwa mwanamuziki mkongwe na mwenye mafanikio huku akionyesha kutojutia kuwa mkewe.“My baby is 2 LEGENDARY….. Always Always Always proud of U.. #thisIsNotAllOfIt #BraggingRights”
Zaidi Annie alisema tuzo hizo zilizoonekana kwenye picha ni baadhi tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *