Mwanaharakati Mzalendo

LADY JAY DEE akumbuka bidhaa yake ya maji JAY DEE; adai ilifanyiwa zengwe

Kama una kumbukumbu nzuri kuhusiana na mwanamuziki gwiji wa Bongo Fleva huwezi kuacha kukumbuka hili la yeye kuanzisha bidhaa ya maji ya kunywa ambayo hayakupata usajili kwa kile kilichodaiwa na mamlaka husika kuwa maji ya JAY DEE hayakukidhi vigezo.
leo Komando amekumbuka mkasa huo na kuweka picha ya wakati akionyesha maji ya JAY DEE kwa waandishi wa habari na kuielezea picha hiyo kwa maneno makali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *