Mwanaharakati Mzalendo

Vanessa Mdee Nae Ametutoa Kimaso maso Watanzania Tuzo za AFRIMMA 2015..Apata Tuzo Hii

Baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuchukua Tuzo Tatu za Afrimma 2015, Vanessa Mdee Nae Ameibuka Kidedea….

#KutokaDallas @VanessaMdee ameshinda tuzo ya msanii bora wa kike wa Afrika Mashariki. #Afrimma2015

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *