Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya imefikia hatua ya 16 bora, baada ya timu hizo kutifuana katika hatua ya makundi. Mchakato wa kupanga timu hizo 16 zilizofuzu hatua ya makundi umemalizika na hapa unaweza kuona nani ataumana na nani kusaka tiketi ya kucheza faianali ya michuano hiyo ianayotarajiwa kufanyika jijini Milan, Italia Mei 28, 2016.