Mwanaharakati Mzalendo

Lowassa Atoa Mkono wa Pole Kwa Wagonjwa Hospitali Ya Kilimanjaro CRCT



Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, akimjulia hali mzee Khalfan Kangero (95), pamoja na wagonjwa wengine katika Hospitali ya Kilimanjaro CRCT mjini Moshi jana akiwa njiani kuelekea Monduli mkoani Arusha kwa mapumziko ya kuuaga mwaka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *