Mwanaharakati Mzalendo

Meneja wa Dr. Shika Abanwa, Ni kweli Mabilioni ya Dkt. Shika yamefika..? Ashikwa Kigugumizi


Meneja wa Dr. Louis Shika ambaye anafahamika kwa jina la Catherine Kahabi amesema kuwa kwa taarifa zilizopo ni kweli fedha imefika lakini ipo namna ya kujiridhisha na hawezi kuongea in deep kwakua hajafuatilia sana kwani alikuwa busy ila atalifuatilia kujua zaidi.

Na alipoulizwa na mwandishi wa millardayo.com na Ayo Tv kama fedha zimeshaingia mpango ni kwenda kuchukua zile nyumba zilizokuwa zikipigwa mnada..? Majibu yake aliyatoa hapa Bonyeza PLAY kumsikiliza VIDEO: 


CHANZO;MILLARD AYO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *