Mwanaharakati Mzalendo

Taarifa ya BOT kuhusu kuongezeka kwa deni la Taifa


Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kuwa imeshtushwa na taarifa zilizoandikwa na Gazeti la Mwananchi tarehe 17 Mei taarifa hizo si za kweli na zinapaswa kupuuzwa. 
Taarifa y BOT imeeleza kuwa Gazeti hilo lilidai kwamba imeongezeka Trilioni 12 katika deni la Taifa kati ya Disemba 2017 na March 2018 takwimu ambazo sio sahihi.
Soma taaarifa yake:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *