Mwanaharakati Mzalendo

DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA “CHAWL” JUMBA LA TRENI ZANZIBAR

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar Bw.Khatib
Abdulrahman Khatib Babu mara alipowasili katika ufunguzi wa Jumba la
“Chawi” maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini ambalo limefanyiwa
matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China, wakati wa sherehe
iliyofanyika jana.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto)akifungua pazia kama ishara ya kulifungua Jumba la “Chawi”
maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar lililofanyiwa
matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China, wakati wa sherehe
rasmi iliyofanyika leo (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid
Mohamed Salum.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (mbele) wakati
alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la “Chawi” maarufu Jumba la
Treni lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China
liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifungua rasmi katika sherehe
zilizofanyika jana.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (mbele) wakiteremka ngazi wakati
alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la “Chawi” maarufu Jumba la
Treni lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China
liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifungua rasmi katika sherehe
zilizofanyika jana.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa
Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (katikati) mara baada ya
kulifungua Jengo la “Chawi” maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini
Zanzibar lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka
China katika sherehe zilizofanyika jana.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi na Wananchi
waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la “Chawi” maarufu
Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifuingua
leo,ililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China.

Vijana
wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za ufunguzi wa
Jengo la “Chawi” maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar
zilizofanyika leo ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya
CRJE kutoka China.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa
Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Jengo
la “Chawi” maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar ambalo
limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka
China,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF
Bibi.Sabra Issa Machano (kulia)Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub
Mohamed Mahmoud na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu.

Wananchi
waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la “Chawi” maarufu
Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar ambalo ilimefanyiwa
matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi wa jengo hilo
uliofanyika jana. Picha na Ikulu, Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *