Mwanaharakati Mzalendo

FARAJI MAJIMOTO AIBUKA MSHINDI WA TIGO FIESTA SUPA NYOTA MKOA WA TANGA


Meza ya Majaji ikijadili jambo wakati wa shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota mkoa wa Tanga, Toka kushoto ni Mecky Manyanga, Adam Mchomvu, Stamina na Moko Biashara.
 Faraji Majimoto RAI MC akifanya yake kwenye steji.
 Sehemu ya umati uliohudhuria kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba la Tigo Fiesta Supa Nyota kiwanja cha Tangamano, Tanga.
 Jaji Mkuu wa shindano la kusaka vipaji Tigo Fiesta Supa Nyota 2018, Adam Mchomvu akimnyanyua mkono juu mshindi wa shindano hilo toka Tanga, Faraji Majimoto maarufu kama Rai Mc, kwenye kinyang’anyiro kilichofanyika leo kiwanja cha Tangamano Tanga. Faraji ataingia kwenye fainali itakayofanyika Dar es salaam mwezi ujao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *