Mwanaharakati Mzalendo

Kutana na Cresencio na Howard X marafiki wanaofanana na Rais Duterte na Kim Jong Un


Wahenga waliosema dunia wawili wawili, ama hakika hawakukosea kwani sio kwa maswahiba hawa wawili, Cresencio Extreme na mwenzake Howard X ambao wote wanafanana sawia na marais wa Ufilipino na Korea Kaskazini.
Impersonators Howard X (L) and Cresencio Extreme in Hong Kong, China, 3 February 2019

Howard X na Cresencio Extreme

Kwa mujibu wa mtandao wa BBC, umeeleza kuwa wawili hao walikuwa pamoja katika barabara za mji wa Hong Kong, wakipiga picha wikiendi iliyopita na kula pamoja chakula cha jioni katika mgahawa mmoja jijini humo.
"Je huyu ni Durtete?'' Wengine hawakukubaliana naye huku raia huyo akionekana kuwa mdogo kwa umri kuwa rais wa Ufilipino pamoja na mwenzake anayemuiga rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
Howard X na Cresencio Extreme
Cresencio Extreme amefanana na Duterte na huku mwenzie Howard X anayefanana na Kim Jong un.

Mtu huyo anayefanana na rais Durtete alizua kihoja na mkanganyiko katika kanisa hilo katikati ya mji wa Hong Kong baada ya kuzungukwa na waumini

Waigaji Howard X (L) na Cresencio Extreme mjini Hong Kong, China, 3 Februari 2019

Howard X na Cresencio Extreme 

Walihudhuria ibada ya Jumapili katika kanisa la St Joseph's huku Cresencio Extreme (kushoto)akiwa amevalia shati jeupe ambalo hupendewa sana na rais Durtete


Howard X na Cresencio Extreme

Mtu huyo anayefanana na rais Durtete alizua kihoja na mkanganyiko katika kanisa hilo katikati ya mji wa Hong Kong baada ya kuzungukwa na waumini

Duterte wawili

Rais Duterte {kushoto) na Cresencio Extreme

Kim Jong-un and a lookalike
Rais Kim (kushoto) na Howard X 
Image result for duterte and kim jong un

Picha na Reuters

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *