PICHA: Mbunge CHADEMA apata ajali Mbaya – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home AJALI

PICHA: Mbunge CHADEMA apata ajali Mbaya

I am Magnifico by I am Magnifico
Feb 10, 2019
in AJALI
0 0
0
0
SHARES
81
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimethibitisha Mbunge wake wa viti maalum kutokea Zanzibar, Zainab Mussa Bakari kupata ajali katika eneo la Dumila mkoani Morogoro alipokuwa akitokea Jijini Dodoma kuja Dar es salaam kufuatia kuahirishwa kwa vikao vya Bunge.

  
Taarifa ya ajali hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CHADEMA, Tumaini Makene akisema kuwa Mbunge huyo anatarajiwa kuhamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.

“Mbunge wa CHADEMA (VM) Zanzibar, Bi. Zainab Mussa Bakari amepata ajali eneo la Dumila akitoka Dodoma leo, abiria wote 3 na dereva wamejeruhiwa.”

“Baada ya kutibiwa kwa dharura Morogoro, sasa wanapelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi na matibabu zaidi” ameongeza Makene

Ad

ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Meli Yateketea Kwa Moto Carlifonia, Watu Zaidi Ya 8 Wapoteza Maisha
AJALI

Meli Yateketea Kwa Moto Carlifonia, Watu Zaidi Ya 8 Wapoteza Maisha

by I am Magnifico
Sep 3, 2019
0

Meli yenye urefu wa mita 22 iliyokuwa...

Read more
Kevin Hart Apata Ajali na Kuumia Vibaya

Kevin Hart Apata Ajali na Kuumia Vibaya

Sep 2, 2019
MUME NA MKE WANUSURIKA KIFO BAADA YA KULIPUKIWA NA MAFUTA YA PETROLI LINDI

MUME NA MKE WANUSURIKA KIFO BAADA YA KULIPUKIWA NA MAFUTA YA PETROLI LINDI

Aug 16, 2019
PIKIPIKI YASABABISHA BASI LA ABOOD KUPATA AJALI MWANZA

PIKIPIKI YASABABISHA BASI LA ABOOD KUPATA AJALI MWANZA

Aug 9, 2019

TATIZO JINGINE LAGUNDULIKA KATIKA NDEGE ZA BOEING 737 MAX

Jun 28, 2019

WALIOKUWA WAKISAFIRISHA MITIHANI KAGERA WAFARIKI AJALINI

Jun 28, 2019
Next Post

TAARIFA KWA UMMA UBADILISHAJI PESA ZA KIGENI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

February 2019
M T W T F S S
« Jan   Mar »
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In