Mwanaharakati Mzalendo

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AJUMUIKA NA ASKARI WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA WALIOSHIRIKI GWARIDE LA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR . RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed
Shein, akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili
katika viwanja vya Kambi ya JWTZ Chukwani Zanzibar, kujumuika na Askari
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki Gwaride la Miaka 55 ya
Mapinduzi ya Zanzibar, kushoto Kaimu Kamanda wa Brigedi ya 101KV
Zanzibar Kanali S.S.Mugoba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu na kulia Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.
Haji Omar Kheri.(Picha na Ikulu) 

 RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed
Shein, akijumuika katika chakula maalum aliowaandalia, Askari wa Vikosi
vya Ulinzi na Usalama, katika kambi ya chukwani  walioshiriki Gwaride la
Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar mwaka huu zilizofanyika
Kisiwani Pemba katika uwanja wa gombani.

 ASKARI
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki Gwaride la Maadhimisho ya
Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar, wakijumuika katika hafla ya
chakula maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika
Kambi ya Chukwani Zanzibar. ASKARI
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakijumuika katika hafla ya chakula
maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Kambi ya
Chukwani Zanzibar.

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Brigedi ya 101KV Zanzibar
Kanali.S.S.Mugoba, alipowasili katika viwanja vya Kambi ya Chukwani
Zanzibar kujumuika na Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama
walioshiriki Gwaride la Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
zilizofanyika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba mwaka huu 2019.

 RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed
Shein, akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili
katika viwanja vya Kambi ya JWTZ Chukwani Zanzibar, kujumuika na Askari
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki Gwaride la Miaka 55 ya
Mapinduzi ya Zanzibar, kushoto Kaimu Kamanda wa Brigedi ya 101KV
Zanzibar Kanali S.S.Mugoba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu na kulia Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.
Haji Omar Kheri.(Picha na Ikulu) 

 SKARI
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu
akitowa shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar, wakati wa hafla ya
chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili yao katika kambi ya Chukwani
Zanzibar.

 KAIMU
Kamanda Brigedi ya 101 KV Zanzibar Kanali S.S.Mugoba, akizungumza
wakati wa hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Aki Mohamed Shein, kwa ajili
ya Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki gwaride la
Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi zilizofanyika mwaka huu kisiwani
Pemba January,12, 2019.
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Issa
Haji Gavu akitowa shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika
katika viwanja vya Kambi ya Chukwani Zanzibar.(PICHA NA IKULU).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *