Mwanaharakati Mzalendo

KLABU BINGWA AFRIKA HATUA YA ROBO FAINALI: KANUNI ZINASEMAJE ??.

1. Timu zinazotoka kundi moja haziwezi kukutana.
2. Timu zilizoshika nafasi ya kwanza kwenye makundi zitacheza na timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi. 
3. Mshindi wa pili katika group lazima acheze mechi ya kwanza nyumbani. 
Kutokana na Kanuni hizi za CAF, Simba itakuwa na vitu hivi katika Quarter final:
1. Mechi yake ya kwanza ni 05/04/2019 Dar es salaam.
2. Mechi ya marudiano ni 12/04/2019 nyumbani mwa timu pinzani.
4. Timu zitakazopangiwa Simba ni kati ya hizi 3 ambazo ni ESPERANCE ya Tunisia, TP MAZEMBE ya DRC, au WYDAD CASABLANCA ya Morocco. 
Droo ya hatua ya Robo Fainali itafanyika mwezi Machi tarehe 20, 2019. (Na pia ya hatua ya nusu fainali itafanyika siku hiyo hiyo).
Lakini pia katika hatua ya robo fainali hakuna “Extra Time”. Kama timu zikilingana kila kitu kwenye mechi zote mbili basi mikwaju ya penati itaamua bingwa. Mpo hapo? 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *