Mwanaharakati Mzalendo

RANIERI YUPO TAYARI KUOKOA KIWANGO CHA KIUNGO ‘DRINKWATER’

Kocha mpya wa klabu ya AS ROMA, Claudio Ranieri amesema yupo tayari kumpa ofa ya kuondoka Chelsea kiungo aliyesahulika, Danny Drinkwater na kufufua maisha yake ya soka ndani ya klabu ya AS Roma kwa mujibu wa Sky Italia. 
Danny Drinkwater aliwahi kucheza chini ya Muitaliano huyo ndani ya klabu ya Leicester na kutwaa Ubingwa wa EPL pamoja mwaka 2016 lakini tokea asajiliwe kwenda Chelsea amekuwa akisugua benchi bila mafanikio. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *