Mwanaharakati Mzalendo

TETESI: ICARDI HUKU, LUKAKU KULE. MAMBO NI MOTO

Taarifa zinazotembea mitandaoni kwa sasa ni kuwa klabu ya Manchester United watapewa ofa ya kumsajili Mauro Icardi majira ya kiangazi huku Inter Milan wakiwa wanataka saini ya Romelu Lukaku, kwa mujibu wa taarifa kutoka Sky Italia. 
Lukaku amerejea kwenye kiwango kizuri chini ya Ole Gunnar Solskjaer, mpaka sasa ana magoli 12 lakini Mauro Icardi ameweka kambani magoli 9 katika mechi 20 za Serie A . 
Je hii ni biashara nzuri? 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *