Mwanaharakati Mzalendo

UEFA: HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOWANIA UCHEZAJI BORA WA WIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Shirikisho la soka barani ulaya, UEFA limeshatoa majina ya nyota wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa wiki katika Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League). Wamechaguliwa kutokana na viwango vizuri walivyovionyesha pamoja na msaada/mchango walioutoa kwa timu zao kufanikiwa kufuzu kwenda hatua ya robo fainali. 
1. Cristiano Ronaldo (magoli 3)
2. Leroy Sane (goli 1, assist 3)
3. Lionel Messi (Goli 2, assist 2)
4. Sadio Mane (Goli 2)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *