TID:SINA TATIZO NA Q CHILLA – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BONGO FLEVA

TID:SINA TATIZO NA Q CHILLA

I am Magnifico by I am Magnifico
Apr 25, 2019
in BONGO FLEVA
0 0
0
0
SHARES
75
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Staa wa Bongo Fleva, TID amesema kuwa hana tatizo na staa mwenzake Q Chilla na kuwa anashaa akiongelewa vibaya na staa huyo.

“Mimi sina tatizo lolote na Q Chilla ila nashangaa yeye anavyokuwa ananiongelea vibaya maana kumuongelea mtu vibaya hakufanyi wewe kuonekana mzuri,” TID alisema.

“Mara ya mwisho nakutana na Q chilla ilikuwa mwezi mmoja uliopita na alivyoniona akanipiga bao, kiukweli sikumuelewa maana hajui nimetumia kiasi gani cha fedha au muda gani kutengeneza brand yangu kisha yeye kutaka kuiharibu, sijui anataka kuniona nimepanga Mwananyamala kama yeye hata sielewi,” TID alisema hayo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Hivi karibuni Q Chilla alinukuliwa na chomno cha habari kimoja akielezea kuwa na tatizo na TID
 “Ni kweli mimi na T.I.D tuna migogoro takribani miaka miwili sasa, nisingependa kuyaongelea sana madhambi ya mwenzangu lakini hata mimi nina mashabiki ambao wananifatilia na wanaona kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yangu na nafikiri kwa watu wenye akili timamu wamefatilia na kugundua nani mwenye matatizo kati yetu”, amesema Q Chilla.

Tags: Q CHILLATID
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Kazi ya Uhudumu wa Bar Ilivyobadilisha Maisha ya Ebitoke
BONGO FLEVA

Kazi ya Uhudumu wa Bar Ilivyobadilisha Maisha ya Ebitoke

by I am Magnifico
Aug 2, 2019
0

Mkali wa vichekesho nchini,Ebitoke 'Annastazia Exavery' amesema...

Read more
Aika wa Navy Kenzo Atoboa Siri ya  Kumuita Mwanaye ‘Jamaika’

Aika wa Navy Kenzo Atoboa Siri ya Kumuita Mwanaye ‘Jamaika’

Jul 29, 2019

Hakuna Mapenzi kwa Mastaa- Shilole

Jun 28, 2019

Natasha wa Diamond Kuishangilia Taifa Stars Kesho Dhidi ya Kenya

Jun 26, 2019

Diamond Afungukia Sakata la Watoto, Amfagilia Hamisa Dhidi ya Zari

Jun 25, 2019

Bushoke Bado Anamkumbuka Mangwair

Jun 24, 2019
Next Post

RAIS ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA ELFU 3

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

April 2019
M T W T F S S
« Mar   May »
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In