MALI ZA WANAOIKOSOA SERIKALI KUTAIFISHWA KUANZIA SASA
Mahakama kuu nchini Burundi na mwendesha mashtaka wa serikali wametoa amri ya kuzitaifisha mali za watu 41 wanaoikosoa serikali. Watu ...
Read moreMahakama kuu nchini Burundi na mwendesha mashtaka wa serikali wametoa amri ya kuzitaifisha mali za watu 41 wanaoikosoa serikali. Watu ...
Read moreJumla ya watuhumiwa 17 wa makosa mbalimbali waliokuwa wamehifadhiwa kwenye ukumbi wa jengo jipya la Mahakama ya Mkoa wa Geita ...
Read moreWatu sita wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa mjini Jakarta nchini Indonesia, baada ya polisi wa kutuliza ghasia nchini humo kupambana ...
Read moreStaa wa Bongofleva, Marianne Mdee, maarufu kama Mimi Mars, amefunguka kuwa moja ya mambo yanayomnyima usingizi ni kutamani kuyafikia mafanikio ...
Read moreKamati ya utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini imemvua uanachama diwani wa Viti Maalum wa ...
Read moreAlgeria na Argentina zimethibitishwa na kutambulika rasmi na Shirika la afya ulimwengu WHO kuwa zimetokomeza ugonjwa wa malaria. Hatua hii ...
Read moreBunge la Tanzania limeridhia kumpuuza na kumsamehe mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele ambaye Kamati ya Haki, Maadili na ...
Read moreShirikisho la Soka Duniani Fifa limesitisha mpango wa kuongeza nchi zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2022 hadi timu 48. Rais ...
Read moreNahodha wa zamani wa England na Chelsea John Terry, ambaye kwa sasa ni naibu meneja wa Aston Villa, anashauriana na ...
Read moreAll rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.