Mwanaharakati Mzalendo

WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ ‘INAMA’ ALIYOMSHIRIKISHA FALLY IPUPA

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameachia wimbo wake mpya wa INAMA aliyomshirikisha Fally Ipupa kutoka DR Congo.

Wimbo huu umetengenezwa na Lizer kutoka Wasafi Records na ni moja ya kolabo za Diamond Platnumz ambazo zilikuwa zinasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa muziki.
Icheki hapo chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *