Mwanaharakati Mzalendo

’50 CENT’ KUTUNUKIWA NYOTA KWENYE HOLLYWOOD WALK OF FAMEMsanii, rapa mkongwe, muigizaji na muongozaji wa filamu, Curtis Jackson maarufu kama ’50 Cent’ sasa kuuza sura kwenye mitaa ya Hollywood kwani jina lake limetajwa kwenye orodha ya watu mashuhuri watakaopatiwa NYOTA “Star” kwenye Hollywood Walk of Fame. 

Mchango wake kwenye muziki na filamu ndio umemfanya kupatiwa nyota hiyo zitakazogawiwa mwaka 2020. 
Wengine watakaoambatana na 50 cent katika kupewa nyota hizo ni mwanamama Wendy Williams na msanii Alicia Keys. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *