Bushoke Bado Anamkumbuka Mangwair – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BONGO FLEVA

Bushoke Bado Anamkumbuka Mangwair

I am Magnifico by I am Magnifico
Jun 24, 2019
in BONGO FLEVA, BURUDANI, BUSHOKE
0 0
0
0
SHARES
95
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mwanamuziki Luta Bushoke amesema marehemu Albert Mangwair ameondoka na ubunifu wake na kudai alifanya muziki wake kwa ajili ya mahitaji ya jamii.

Hivi karibuni akizungumza na Mwanaspoti, Bushoke anasema kuna wakati analitazama gemu la muziki na kubaini kuna aina fulani ya ladha zinapotea kwa madai wapo wasanii ambao walifanya vitu baadhi wamefariki na wengine wameamua kunyamaza na kuangalia kinachoendelea.
“Mangwair alikuwa kichwa kwa maana ya akili nyingi ambayo ilifanya kazi zake ziwe na ujumbe kwa jamii, nakumbuka uwepo wake kama najiulize angekuwepo huenda angefanya kitu kikubwa kwenye gemu hii.
“Sina maana kwamba wanaovuma kwa sasa wanafanya vibaya, niligundua ni kila enzi ina muziki wake na mambo yake ingawa ni vyema zikafanyika kazi zile ambazo zitaishi kwenye mioyo ya watu na zitakuwa funzo na burudani.
“Muziki upo kwa ajili ya watu, hivyo kuna haja ya kufanya utafiti wa kujua hao watu wanahitaji nini, binafsi naona kabisa Mangwair alikuwa na aina yake ya uimbaji ambayo iliwavutia wengi,” anasema.

 

Msanii Mangwair alifariki mwaka 2013 nchini Afrika Kusin, alikuwa ni moja kati ya wasanii walitamba kwenye anga la bongo fleva.
Tags: MANGWAIR
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa
BURUDANI

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa

by I am Krantz
Jan 14, 2021
0

MAMLAKA ya Maji Visiwani Zanzibar (ZAWA), kwa...

Read more
Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Jan 6, 2021
WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI  KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

Dec 20, 2020
Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Dec 14, 2020
Kamishina  wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Kamishina wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Dec 7, 2020
SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Oct 10, 2020
Next Post

Rose Ndauka Alivyowapagawisha Mashabiki wa Soka

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

June 2019
M T W T F S S
« May   Jul »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In