Mwanaharakati Mzalendo

CARDI B AKANA MASHTAKA YA KUWAPIGA WASICHANA CLUB

Cardi B akiwasili mahakamani hapo jana 

Rapa anayefanya vyema Marekani, Cardi B amekana mashtaka yote mawili dhidi yake kwenye kesi ya kuwapiga na kuwafanyia fujo wasichana wawili kwenye ukumbi wa usiku mwezi August 2018.

Akiwa amesimama kizimbani kwenye mahakama kuu ya Queens, “Not guilty sir” Cardi B alimuambia Hakimu Joseph Zayas kuwa hana hatia.


Tukio hilo lilitokea 2018 katika ukumbi wa (Angels Strip Club) ambapo Cardi anadaiwa kuwafanyia fujo wanawake hao (Jade na Baddie Gi) kwa kurusha viti na kupasua chupa akiamini kwamba Jade aliwahi kutoka kimapenzi na mumewe, Rapper Offset. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *