Diamond Anavyowatoa Vijana Kimaisha – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BURUDANI

Diamond Anavyowatoa Vijana Kimaisha

I am Magnifico by I am Magnifico
Jun 25, 2019
in BURUDANI, Diamond Platinumz
0 0
0
0
SHARES
71
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Msanii wa Bongo Fleva,  Diamond Platnumz amefanyika daraja kwa vijana wenzake kuwatoa kimaisha kama anavyofichua mcheza shoo wake Ahmed Makambi ‘Dumy’.

Ahmed Makambi ‘Dumy’ akiwa na Diamond

Kupitia gazeti la Mwanaspoti, Dumy amefunguka namna ambavyo Diamond Platnumz, amekuwa msaada wa kuinua vijana wenzake kwa kuwapa fursa ya kufanya nao kazi kwamba ni mfano wa kuigwa na wengine.

Anasema ameanza kufanya kazi na Diamond Platnumz tangu hajatoboa kimuziki mpaka sasa ambapo anajulikana ndani na nje ya nchini, akimuelezea kwamba ni kijana ambaye haridhiki na alichopata zaidi ya kutamani mafanikio makubwa zaidi.

“Nina hatua kubwa kimaisha kupitia kucheza shoo kwenye nyimbo za Diamond Platnumz na nyimbo ambayo ilianza kututoa sisi wacheza shoo ni ya ‘Moyo’ ambayo ilikuwa inachezeka.

“Ingawa hata ile ya Nenda Kamwambie tulikuwemo ndani lakini haikuwa ya kuchezeka sana, kifupi nyimbo zote za Diamond Platnumz nimecheza kuanzia ya kwanza mpaka hii ya Inama,” anasema

Alipoulizwa kwamba ni changamoto ya aina gani kufanya kazi na staa huyo? Alijibu kuwa “Diamond Platnumz anapenda kazi bora, yeye mwenyewe anajituma akianza kufanya mazoezi unaweza ukashangaa, hivyo siwezi kuwa mvivu wa kupambana.

“Kwenye maisha ya kawaida ni kijana ambaye anajishusha na kushirikiana na kila mtu, tofauti na anavyoonekana akiwa kwenye steji, huyo ndiye Diamond ninayemfahamu mimi,”anasema.

Tags: WCB
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa
BURUDANI

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa

by I am Krantz
Jan 14, 2021
0

MAMLAKA ya Maji Visiwani Zanzibar (ZAWA), kwa...

Read more
Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Jan 6, 2021
WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI  KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

Dec 20, 2020
Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Dec 14, 2020
Kamishina  wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Kamishina wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Dec 7, 2020
SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Oct 10, 2020
Next Post

Kisa Chatajwa, Mwanamke Mtanzania 'Amuua' Jirani yake Mkenya

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

June 2019
M T W T F S S
« May   Jul »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In