Sababu za Wema Kupelekwa Segerea – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BONGO MOVIE

Sababu za Wema Kupelekwa Segerea

I am Magnifico by I am Magnifico
Jun 18, 2019
in BONGO MOVIE
0 0
0
0
SHARES
84
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu amepelekwa gereza la Segerea kwa siku saba, baada ya kujisalimisha kutokana na amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyotolewa akamatwe Juni 11.

Wema alijisalimisha jana na kukamatwa ikiwa ni siku sita baada ya mahakama hiyo kutoa amri na hati ya kumkamata kwa kushinda kufika kwenye kesi yake inayomkabili mahakamani hapo.

Mrembo huyo alipandishwa katika gari la Magereza jana mchana na kupelekwa mahabusu hadi Juni 24 Mahakama itakapotoa uamuzi wa ama kumfutia dhamana au la.

Awali, wakili wa Serikali, Gloria Mwenda alieleza Mahakama kuwa licha ya suala la ugonjwa kuwa sababu ya kibinadamu, alipaswa kutoa taarifa kupitia kwa wadhamini wake badala ya wakili wake.

Hivyo aliiomba mahakama itoe onyo kali dhidi yake kutoka na kosa hilo.

Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Kasonde aliamuru msanii huyo apelekwe mahabusu hadi Juni 24, atakapotoa uamuzi wa ama kumfutia dhamana au la.

Tags: WEMA SEPETU
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Gabo Afunguka Kuonewa Wivu na Wasanii Wenzake
BONGO MOVIE

Gabo Afunguka Kuonewa Wivu na Wasanii Wenzake

by I am Magnifico
Jul 29, 2019
0

STAA wa Bongo Movie, Salim Ahmed 'Gabo'...

Read more
Manara Afungukia Kuingia Kwenye Filamu

Manara Afungukia Kuingia Kwenye Filamu

Jul 26, 2019
Tanzania yapokea Dhahabu na Fedha Zilizokamatwa Kenya

Tanzania yapokea Dhahabu na Fedha Zilizokamatwa Kenya

Jul 24, 2019
Ray Kigosi: Jaden Amenipa Heshima

Ray Kigosi: Jaden Amenipa Heshima

Jul 22, 2019
Yusuph Mlela Atoboa Kuhusu Bifu Lake na Hemed PHD

Yusuph Mlela Atoboa Kuhusu Bifu Lake na Hemed PHD

Jul 16, 2019
Swahilflix Waungana na Bongo Movie, Will Smith Kutua Bongo

Swahilflix Waungana na Bongo Movie, Will Smith Kutua Bongo

Jul 16, 2019
Next Post

RIPOTI: KIWANGO CHA SILAHA ZA NYUKLIA CHAPUNGUA DUNIANI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

June 2019
M T W T F S S
« May   Jul »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In