Steve Nyerere Afungukia Sakata la Kutafuna Rambirambi za Masogange – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BONGO MOVIE

Steve Nyerere Afungukia Sakata la Kutafuna Rambirambi za Masogange

I am Magnifico by I am Magnifico
Jun 20, 2019
in BONGO MOVIE, BURUDANI
0 0
0
0
SHARES
96
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
STAA wa Bongo Movie, Steve Nyerere amekanusha tuhuma zilizotolewa dhidi yake, kuhusiana na kutofikisha michango kwa familia ya marehemu Agness Masogange ambaye alifariki Aprili 20, 2018.

Kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, dada wa mzazi mwenzake Agnes, anayejulikana kwa jina la Sania, amesema kuwa mpaka sasa hawajapewa pesa yoyote, hata ile ahadi ya kumkatia mtoto bima ya afya haijafanyika.

Akizungumzia madai hayo alipotafutwa na www.eatv.tv, Steve Nyerere amesema kuwa hakuna kitu kama hicho na hawezi kufanya kitu kama hicho, aliwasilisha mchango huo wakiwa na watu wengine akiwemo mchekeshaji MC Pilipili na walimkabidhi dada wa marehemu.

“Tulikabidhi mchango ule ambao ulikuwa ni kiasi cha shilingi milioni moja na laki mbili na kinachoendelea sasa ni kikundi cha watu wachache wanaotaka kumchafua Steve Nyerere na mpaka hapa nilipofikia mimi najifananisha na Bakhresa siwezi babaika na pesa ndogondogo hizo”, amesema Steve.

Steve ameongeza kuwa kinachoendelea sasa ni kupotosha umma na ukweli uliopo ni kuwa , hakukuwa na maelewano mazuri baina ya familia ya marehemu na ile ya mzazi mwenzake ambao ndio wanaodai michango kwaajili ya ada ya mtoto haijawafikia.

Mwanamitindo na video queen maarufu bongo Agnes Gerald maarufu kama Masogange, alifariki dunia Aprili 20, 2018 katika hospitali ya Mama Ngoma alipokuwa akipatiwa matibabu.

Tags: STEVE NYERERE
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa
BURUDANI

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa

by I am Krantz
Jan 14, 2021
0

MAMLAKA ya Maji Visiwani Zanzibar (ZAWA), kwa...

Read more
Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Jan 6, 2021
WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI  KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

Dec 20, 2020
Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Dec 14, 2020
Kamishina  wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Kamishina wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Dec 7, 2020
SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Oct 10, 2020
Next Post

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA: Je adhabu ya kiboko shuleni iondolewe? Waziri azungumza

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

June 2019
M T W T F S S
« May   Jul »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In