Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumatatu: Coutinho, Buffon, Neymar, Bale, Ndombele, Cahill, Dumfries – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BALE

Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumatatu: Coutinho, Buffon, Neymar, Bale, Ndombele, Cahill, Dumfries

I am Magnifico by I am Magnifico
Jun 17, 2019
in BALE, BUFFON, CAHILL, COUTINHO, DUMFRIES
0 0
0
0
SHARES
86
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Klabu ya Paris St-Germain ipo tayari kumuuza mshambuliaji wake machachari raia wa Brazil, Neymar, 27. (L’Equipe – in French) 

Klabu ya Bayern Munich inataka kumsajli kwa mkopo winga wa Real Madrid na timu ya taifa ya Wales Gareth Bale, 29. (Sun)


Kiungo wa klabu ya Lyon Mfaransa Tanguy Ndombele, 22, amesema kuwa anaweza kuhamia Tottenham kama nafasi itatokea. (Telefoot – in French)


Manchester United wanamtaka beki wa kulia wa kalabu ya PSV Eindhoven na Uholanzi, Denzel Dumfries, 23. (Sun)


Liverpool wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kufukuzia saini ya kiungo wa klabu ya Besiktas na Uturuki, Dorukhan Tokoz, 23. Tayari ofay a klabu ya Udinese ya Italia ya kutaka kumsaini kiungo huyo imekataliwa na Besitkas. (Fotomac – in Turkish)


Winger wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Philippe Coutinho, 27, anaweza kujiunga na Chelsea. (Express)


Kipa mkongwe wa Italia Gianluigi Buffon, 41, amesema anaweza kupumzika msimu mzima kucheza mpira baada ya kukataa ofay a kuongeza mkataba kwa mwaka mmoja na klabu ya PSG. (Corriere dello Sport, via Goal)


Rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi ameonya kuwa hataki tena kuona “tabia za watu mashuhuri” kutoka kwa wachezaji wake. (France Football – in French)


Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anataka kumsajili kipa wa klabu ya Eibar Mhispania Asier Riesgo, 35. (Sun)


Kocha wa Inter Milan Antonie Conte anataka kumsajili mlinzi wa zamani wa Chelsea na England Gary Cahill, 33, baada ya beki huyo kuondoka Chelsea. Cahill na Conte wamewahi kufanya kazi pamoja Chelsea. (Sport Mediaset – in Italian)


Klabu ya Manchester United wamepewa nafasi ya kumsajili kiungo wa klabu ya Monaco Youri Tielemans. Tielminas, 22, ambaye ni raia wa Ubelgiji kuanzia mwezi Januari mwaka huu alikuwa kwa mkopo klabu ya Leicester. (Star)


Kiungo wa Everton na timu ya ataifa ya Croatia Nikola Vlasic, 21, anajiandaa kuhamia moja kwa moja klabu ya CSKA Moscow baada ya kuitumikia kwa mkopo kwa msimu mzima. (Championat – in Russian)


Watford wanatarajiwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili beki wa est Brom dCraig Dawson, lakini klabu ya Burnley imetangaza nia pia ya kumsajili beki huyo mwenye miaka 29. (Sun)

ADVERTISEMENT
Tags: MICHEZONDOMBELENEYMAR
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

COUTINHO ATUA BAYERN MUNICH KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA
Bayern Munich

COUTINHO ATUA BAYERN MUNICH KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA

by I am Magnifico
Aug 19, 2019
0

Habari tulizozipata hivi punde ni kuwa klabu...

Read more
Tetesi za Soka Ulaya Leo Alhamisi: Coutinho, Pepe, Dybala, Rugani, Koscielny, Sane

Tetesi za Soka Ulaya Leo Alhamisi: Coutinho, Pepe, Dybala, Rugani, Koscielny, Sane

Aug 1, 2019
Tetesi za Soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Pogba, Neymar, Zaha, Maguire, Malcom

Tetesi za Soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Pogba, Neymar, Zaha, Maguire, Malcom

Jul 26, 2019
Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumatatu: Zaha, Bale, Maguire, Koscielny, Asensio, Milner, James

Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumatatu: Zaha, Bale, Maguire, Koscielny, Asensio, Milner, James

Jul 22, 2019
Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumanne:Neymar, Coutinho, Maguire, Bruce, Fernandes, Alderweireld

Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumanne:Neymar, Coutinho, Maguire, Bruce, Fernandes, Alderweireld

Jul 16, 2019
Tetesi za soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Griezmann, Lukaku, Koscielny, Fernandes, Diaz

Tetesi za soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Griezmann, Lukaku, Koscielny, Fernandes, Diaz

Jul 12, 2019
Next Post

DNA YATATUA KITENDAWILI CHA MELON NA SHARON

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

June 2019
M T W T F S S
« May   Jul »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In