Mwanaharakati Mzalendo

WYCLEF ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA ATANGAZE KUGOMBEA URAISI WA HAITI

HAITI
Msanii Wyclef Jean akitumbuiza
Miaka 9 iliyopita mwimbaji Wyclef Jean alitangaza kugombea Urais wa nchini kwao Haiti. Hii ilikuwa taarifa njema kwa upande wa wasanii wa muziki duniani kote na wapenda sanaa. 


Sasa kwenye mahojiano yake hivi karibuni, Wyclef ameweka wazi sababu iliyomfanya kugombea. Wyclef alisema alipata hamasa hiyo baada ya kushawishiwa na wananchi kutokana na umasikini uliokithiri kwenye taifa hilo. 


Pia sababu nyingine ambayo aliisema ni uwezo walionao wasanii, kwamba wasanii wa muziki wana uwezo mkubwa pia kiakili hivyo kwake ingekuwa rahisi kuweza kutawala. 
Unakubaliana naye kuwa angetawala vizuri au angezingua? 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *