Swahilflix Waungana na Bongo Movie, Will Smith Kutua Bongo – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BONGO MOVIE

Swahilflix Waungana na Bongo Movie, Will Smith Kutua Bongo

I am Magnifico by I am Magnifico
Jul 16, 2019
in BONGO MOVIE, BURUDANI
0 0
0
Swahilflix Waungana na Bongo Movie, Will Smith Kutua Bongo
0
SHARES
93
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Wasanii wa Bongo Movie kwa kushirikiana na mtandao wa kuonyesha filamu za Kiswahili ‘Swahiliflix’ wanatarajia kumleta Tanzania msanii maarufu wa Marekani, Will Smith.





Kiongozi wa wasanii hao, Steve Nyerere, ameyasema hayo jana  alipokuwa akitambulisha mtandao huo kwa waandishi wa habari.


Steve alisema uzinduzi wa uonyeshwaji wa filamu hizo unatarajiwa kufanyika Julai 31, 2019 ambapo pamoja na waalikwa wengine, msanii Willy Smith ambaye mbali ya kuwa msanii wa filamu anatarajiwa kuwa mmoja wa wageni kutoka nje.


Alisema wasanii hao ni wadau muhimu kwao ukizingatia ni watu waliopiga hatua katika tasnia ya filamu muda mrefu.


“Pia siku hiyo ya uzinduzi tutaangalia filamu za wasanii wa hapa nchini ikiwemo ya JB na Ray ambao wao tayari wana filamu mpya,” alisema Steve.


Baadhi ya wasanii hawakusita kueleza furaha yao kwa ujio wa mtandao huo akiwemo Aunt Ezekiel alisema anaiona tasnia ya filamu kuzaliwa upya na kuahidi kwamba hawatawaangusha mashabiki wao kwani watajitahidi kutengeneza kazi bora.


Naye mchekeshaji Themed Mariaga maarufu ‘Mkwere’ alisema kwa muda mrefu watu waliopo nje ya Tanzania wamekuwa wakihitaji kuona vichekesho vyao lakini hawakuwa na namna kwa hivyo kupitia mtandao huo watawafikia kirahisi.


Awali, Ofisa Masoko wa Swahiliflix Tanzania, Nazir alisema kupitia mtandao huo watu wataweza kupakua filamu na kuangalia muda wowote watakao kupitia simu zao za mkononi na kwenye kompyuta.


Jacob Steven alisema soko la filamu halikufa bali nilikuwa likipitia katika kipindi cha mpito na kwa kuwa teknolojia imekuwa sasa nao wanatakiwa kubadilika kwani wengi wa mashabiki wao kwa sasa wanashinda kwenye simu zao hivyo na filamu zinatakiwa ziwafikie huko.

Tags: STEVE NYERERE
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa
BURUDANI

Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa

by I am Krantz
Jan 14, 2021
0

MAMLAKA ya Maji Visiwani Zanzibar (ZAWA), kwa...

Read more
Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Maisha Magic Bongo yazidisha uhondo wa Burudani

Jan 6, 2021
WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI  KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

WAZIRI BASHUNGWA AUNGANA NA MAMIA YA MASHABIKI KATIKA TAMASHA LA XXL UNI BASH 2020

Dec 20, 2020
Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Harmonize hataki tumsifie Diamond-Baba levo

Dec 14, 2020
Kamishina  wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Kamishina wa Bima aipongeza Benki ya CRDB kuanzisha huduma ambatanishi ya bima kwa wateja

Dec 7, 2020
SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

SHUHUDIA KIVUMBI TIMU YA DSTV NA KCB, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Oct 10, 2020
Next Post
TANI 2 ZA SAMAKI WENYE SUMU ZATEKETEZWA RUKWA

TANI 2 ZA SAMAKI WENYE SUMU ZATEKETEZWA RUKWA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

July 2019
M T W T F S S
« Jun   Aug »
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In