Mwanaharakati Mzalendo

Tetesi za Soka Leo Ijuma: Lukaku, Marcelo, Maguire, Fernandes, Niguez, Gomez

Mchezaji Bruno Fernandes ameanza mchakato wa kuhamia Old Trafford. Nyota huyo wa miaka 24 anayecheza safu ya kati ya Sporting Lisbon na Ureno anatarajiwa kwenda Manchester kufanya vipimo vya afya. (Sport Witness)

Red Devils wanamlenga mlinzi wa Atletico Madrid na Uhispania Saul Niguez, 24, kuchukua nafasi ya Paul Pogba, endapo nyota huyo wa miaka 26 raia wa Ubelgiji ataondoka Old Trafford. (Express)

Manchester City are hawako tayari kulipa pesa zinazoitishwa na Leicester kumnunua Harry Maguire,26, hatua ambayo imeipatia Manchester United nafasi ya kumsajili mchezaji huyo wa Kimataifa wa England. (90Min)

Arsenal watamkosa kipa wa Ujerumani wa miaka 21 Markus Schubert, ambaye ameamua kujiunga na Schalke kutoka Dynamo Dresden. (Sport1)

Arsenal pia wako mbioni kumsajili Marcelo baada ya beki huyo Mbrazil kuomba kuondoka Real Madrid. (Sport – via Metro)

Inter Milan wanachelewa kutoa ombi rasmi la kumnunua mshambuliaji wa Manchester United na Ubelgiji Romelu Lukaku, 26. (Sun)

Mchezaji nyota wa zamani wa Tottenham Ossie Ardiles anasema ni “kazi bure” kwa klabu hiyo kujaribu kumzuia Christian Eriksen, 27 asiondoke. (Talksport – via Goal)

West Ham United wanajaribu kunyakua uhamisho wa mshambuliaji wa Celta Vigo na Uruguay Maxi Gomez, 22, kutoka kwa Valencia. (Sky Italia – via Inside Futbol)

Leicester will turn their attention to signing Burnley defender James Tarkowski if Harry Maguire, 26, leaves for Manchester United. Wolves have also been interested in 26-year-old Tarkowski. (Birmingham Mail)

Norwich are close to the signing of Schalke’s German goalkeeper Ralf Fahrmann, 30, on a season-long loan. (Sky Sports)

Manchester United are prepared to offer their Spanish goalkeeper David de Gea a contract worth £85m which will see the 28-year-old earn £350,000 a week. (Star)

Southampton are not interested in loaning out Gabon international midfielder Mario Lemina but they would consider a permanent deal for the 25-year-old. (Daily Echo)

Arsenal have made contact with Gremio over the signing of Argentina international central defender Walter Kannemann, 28. (Globo Esporte – via Metro)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *