Tetesi za soka Ulaya Leo Jumatano: Mourinho, Umtiti, Neymar, Tierney, Icardi, Chalov, Sane – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home CHALOV

Tetesi za soka Ulaya Leo Jumatano: Mourinho, Umtiti, Neymar, Tierney, Icardi, Chalov, Sane

I am Magnifico by I am Magnifico
Jul 31, 2019
in CHALOV, ICARDI
0 0
0
Tetesi za soka Ulaya Leo Jumatano: Mourinho, Umtiti, Neymar, Tierney, Icardi, Chalov, Sane
0
SHARES
65
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Manchester United wana nia kusaini mkataba na kiungo wa kati- nyuma wa Barcelona na Ufaransa Samuel Umtiti, mwenye umri wa miaka 25. (Le10 Sport )


Paris St-Germain wameweka turufu yao ya uhamisho wa mshambuliaji wao Neymar mwenye umri wa miaka 27 kwa Barcelona. (Marca)


Arsenal wanakamilisha mkataba kwa ajili ya mchezaji wa safu ya kushoto-nyumba wa Celtic na Uskochi Kieran Tierney, mwenye umri wa miaka 22. (Mail)


Kiungo wa safu ya mashambulizi wa Inter Milan na Argentina Mauro Icardi, mwenye umri wa miaka 26, anaweza kuwa anaelekea Napoli kwa mkataba wa euro milioni 80 (£73m) . (Corriere dello Sport – in Italian)


Crystal Palace wameweka dau la takriban pauni milioni 14 kwa ajili ya mshambuliaji wa timu za CSKA Moscow na Urusi -Fedor Chalov mwenye umri wa miaka 21 . (Sky Sports)


Mkurugenzi mkuu wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge anasema hakuelewa ni kwanini meneja Niko Kovac alisema kuwa klabu hiyo inaamini itasaini mkataba na winga Mjerumani Leroy Sane ambaye anaichezea sasa Manchester City akiwa na umri wa miaka 23. (Bild – in German)


Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane anasema kuwa hafahamu ikiwa kiungo wa kati wa mashambulizi wa timu ya Colombia -James Rodriguez mwenye umri wa miaka 28 atakuwa kwenye klabu hiyo msimu ujao. (Marca)


West Brom hawajapokea ofa yoyote kutoka kwa Aston Villa kwa ajili ya winga wa uskochi Matt Phillips, mwenye umri wa miaka 28. (Birmingham Mail)


Mlindalango wa Newcastle na England wa kikosi cha walio chini ya umri wa miaka -21 Freddie Woodman,ambaye ana umri wa miaka 22, analengwa na Celtic na Arsenal, pamoja na klabu ambazo hazijatajwa za Championi. (Chronicle)


Newcastle wamekataliwa dau la pauni milioni 4.5 kwa jili ya kiungo wa kulia nyuma wa Amiens na Sweden Emil Krafth mwenye umri wa miaka 24 . (Sun)


Mchezaji wa klabu ya Partizan ya Serbia anayecheza safu ya kati-nyuma Strahinja Pavlovic, mwenye umri wa miaka 18, “ameshangazwa ” na tetesi zinazomuhusisha na kuhamia Celtic. (Daily Record)




Meneja wa zamani wa Chelsea na Manchester United Jose Mourinho atarejea katika utawala wakati fursa itakapojitokeza. (Sky Sports)


Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Teddy Sheringham anasema Ole Gunnar Solskjaer anapaswa kumuuza kiungo wa kati Mfaransa Paul Pogba mwenye umri wa miaka 26. (Talksport)




Kiungo wa kati wa Atletico Madrid Koke anasema kuwa anaamini mshambuliaji wa Ureno Joao Felix mwenye umri wa miaka 19-atakuwa “mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani . (ESPN)


Preston North End wamekatalia mbali dau la deni kutoka kwa Wigan Athletic kwa ajili ya kiungo wa kati Daniel Johnson mwenye umri wa miaka 26-mzaliwa wa Jamaica. (Lancashire Evening Post)

Tags: MICHEZOMOURINHONEYMARSANETIERNEYUMTITI
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Tetesi na Habari za soka Barani Ulaya leo 28/08/2019
Alexis Sanchez

Tetesi na Habari za soka Barani Ulaya leo 28/08/2019

by I am Magnifico
Aug 28, 2019
0

Inter Milan wamefikia makubaliano ya kumsajili Alexis...

Read more
SAKATA LA INTER NA ICARDI; ICARDI AONDOKA KAMBINI SWITZERLAND

SAKATA LA INTER NA ICARDI; ICARDI AONDOKA KAMBINI SWITZERLAND

Jul 15, 2019
Tetesi za soka Ulaya Leo Jumanne: Griezmann, Pogba, James, Icardi, Sane, Bakayoko, Gomez

Tetesi za soka Ulaya Leo Jumanne: Griezmann, Pogba, James, Icardi, Sane, Bakayoko, Gomez

Jul 9, 2019
KUNA HILI JIPYA LINAPIKIKA KATI YA INTERMILLAN NA MAURO ICARDI

KUNA HILI JIPYA LINAPIKIKA KATI YA INTERMILLAN NA MAURO ICARDI

Apr 3, 2019

TETESI: ICARDI HUKU, LUKAKU KULE. MAMBO NI MOTO

Mar 4, 2019
Next Post
Hatimaye Aliyemchoma Moto Mke Wake Apandishwa Kizimbani

Hatimaye Aliyemchoma Moto Mke Wake Apandishwa Kizimbani

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

July 2019
M T W T F S S
« Jun   Aug »
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In