Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumatatu: Zaha, Bale, Maguire, Koscielny, Asensio, Milner, James – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home ASENSIO

Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumatatu: Zaha, Bale, Maguire, Koscielny, Asensio, Milner, James

I am Magnifico by I am Magnifico
Jul 22, 2019
in ASENSIO, BALE, JAMES, KOSCIELNY
0 0
0
Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumatatu: Zaha, Bale, Maguire, Koscielny, Asensio, Milner, James
0
SHARES
87
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Klabu ya ligi ya Uchina Beijing Guoan wamepania kumsajili winga wa Real Madrid Gareth Bale. Klabu hiyo, ina mpango wa kumfanya winga huyo mwenye miaka 30 kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika ligi ya Uchina. (telegraph)

Manchester United, ambao awali walikuwa wakimnyemelea Bale wamejitoa katika mbio za kumsajili mchezaji huyo. (Manchester Evening News).

Man United hatimaye imekubali masharti ya kumsajili beki wa Leicester na Uingereza Harry Maguire. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 atawasili katika uwanja wa Old Trafford kwa dau la £80m . (Bleacher Report)

Beki wa Arsenal na Ufaransa Laurent Kolscielny amekubali kujiunga na klabu ya Rennes. (RMC Sport).

Arsenal inatarajiwa kuishinda Tottenham katika kumsaini kiungo wa kati wa Real Madrid Dani Ceballos. Mchezaji huyo wa Uhispania atajiunga kwa mkopo.(Mirror)

Kiungo wa kati wa Liverpool na Uingereza James Milner ,33, amesema hajui hatma yake katika klabu hiyo licha ya kwamba anataka kusalia. (Liverpool Echo)

Bayern Munich wanapigiwa upatu kumsaini winga wa Ivory Coast Wilfried Zaha ,26, baada ya kushindwa kumsaini Leroy Sane na Gareth Bale. (90min)

Ombi la Crystal Palace la £20m kumsaini beki wa Uingereza Reece James limekataliwa na Chelsea. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 alihudumu msimu uliopita akiichezea Wigan.(Star)

Arsenal, Chelsea, Manchester United na West Ham wote wana hamu ya kumsajili mchezaji wa Dynamo Kiev na Ukraine Mykola Shaparenko. (Caught Offside)

Real Madrid wamekataa ofa sita za kumuuza kiungo wa kati wa Uhispania Marco Asensio, ambaye anahusishwa na uhamsho wa kuelekea Liverpool. (Cadena SAR)

Tags: MAGUIREMICHEZOMILNERZAHA
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumanne: Pogba, Zaha, Eriksen, Danilo, Ake, Vertonghen, Koscielny
AKE

Tetesi za Soka Ulaya Leo Jumanne: Pogba, Zaha, Eriksen, Danilo, Ake, Vertonghen, Koscielny

by I am Magnifico
Aug 6, 2019
0

Everton wamekusanya 'kapu' la usajili lenye thamani...

Read more
Tetesi za Soka Ulaya Leo Alhamisi: Coutinho, Pepe, Dybala, Rugani, Koscielny, Sane

Tetesi za Soka Ulaya Leo Alhamisi: Coutinho, Pepe, Dybala, Rugani, Koscielny, Sane

Aug 1, 2019
Tetesi za Soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Pogba, Neymar, Zaha, Maguire, Malcom

Tetesi za Soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Pogba, Neymar, Zaha, Maguire, Malcom

Jul 26, 2019
Tetesi za usajili Ulaya Leo Ijumaa: Neymar, Lampard, Koscielny,Maguire

Tetesi za usajili Ulaya Leo Ijumaa: Neymar, Lampard, Koscielny,Maguire

Jul 19, 2019
Tetesi za soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Griezmann, Lukaku, Koscielny, Fernandes, Diaz

Tetesi za soka Ulaya Leo Ijumaa: Bale, Griezmann, Lukaku, Koscielny, Fernandes, Diaz

Jul 12, 2019
Tetesi za soka Ulaya Leo Jumanne: Griezmann, Pogba, James, Icardi, Sane, Bakayoko, Gomez

Tetesi za soka Ulaya Leo Jumanne: Griezmann, Pogba, James, Icardi, Sane, Bakayoko, Gomez

Jul 9, 2019
Next Post
KATIBU MWENEZI CHADEMA AJINYONGA

KATIBU MWENEZI CHADEMA AJINYONGA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

July 2019
M T W T F S S
« Jun   Aug »
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In