VYUO VILIVYOKUWA VIMEFUNGIWA KUDAHILI VYAPEWA RUHUSA YA KUDAHILI – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home AMUKTA

VYUO VILIVYOKUWA VIMEFUNGIWA KUDAHILI VYAPEWA RUHUSA YA KUDAHILI

I am Magnifico by I am Magnifico
Jul 16, 2019
in AMUKTA, ELIMU, HABARI, KIU
0 0
0
VYUO VILIVYOKUWA VIMEFUNGIWA KUDAHILI VYAPEWA RUHUSA YA KUDAHILI
0
SHARES
101
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesema baadhi ya vyuo vikuu vilivyofungiwa udahili mwaka jana, vimeruhusiwa kufanya hivyo mwaka huu.
ADVERTISEMENT
TCU
Dk Kokuberwa Katunzi-Mollel
Akizungumza wakati wa Maonyesho ya TCU yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jana Jumatatu Julai 15, 2019, Mkurugenzi wa Uratibu na Udahili wa tume hiyo, Dk Kokuberwa Katunzi-Mollel amesema vyuo hivyo vimeruhusiwa kufanya udahili baada ya kukidhi vigezo vilivyotakiwa.
Huku akiahidi majina ya vyuo vingine vilivyoondolewa kwenye kifungo hicho kutajwa baadaye, alivitaja baadhi ya vilivyo funguliwa kuwa ni Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Chuo kikuu kishiriki cha Marian cha Bagamoyo, Chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala (KIU) na Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (AMUKTA).
Tayari dirisha hilo la udahili limefunguliwa kwa awamu ya kwanza kuanzia jana Jumatatu Julai 15 hadi Agosti 10, 2019.
Amewataka wanafunzi wanaotaka kujiunga na elimu ya juu kuanza udahili na kazi ya TCU ni kusimamia utaratibu.
“Dirisha limeshafunguliwa na safari hii wanafunzi wanaweza kuomba kupitia mitandao kwenye simu zao za mkononi au kompyuta, sio lazima wasafiri kwenda nyumbani,” alisema.
Amesema maonyesho hayo yanawasaidia wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kuchagua vyuo wanavyotaka kujiunga kwa sababu, vyote huwa vinaonyesha kozi zinazotolewa kwenye vyuo vyao katika maonyesho hayo.
Tags: TCUTEKUUDAHILIVYUO VIKUU
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Binti achanganyikiwa baada ya mchumba kutoweka siku chache kabla ya ndoa, apata ufumbuzi
HABARI

Binti achanganyikiwa baada ya mchumba kutoweka siku chache kabla ya ndoa, apata ufumbuzi

by Mhariri
Jan 18, 2021
0

Kwa majina naitwa Aisha Hamisi, umri wa...

Read more
Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe

Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe

Jan 18, 2021
Naibu Waziri Kipanga aiagiza kamati ya Ujenzi VETA Korogwe kukamilisha ujenzi huo kwa wakati

Naibu Waziri Kipanga aiagiza kamati ya Ujenzi VETA Korogwe kukamilisha ujenzi huo kwa wakati

Jan 18, 2021
Mashirika ya Umma yenye malimbikizo ya madeni TTCL kukatiwa huduma Januari 31

Mashirika ya Umma yenye malimbikizo ya madeni TTCL kukatiwa huduma Januari 31

Jan 18, 2021
Bodi ya maziwa yaiweka kikaangoni kampuni ya maziwa ya Cowbell

Bodi ya maziwa yaiweka kikaangoni kampuni ya maziwa ya Cowbell

Jan 18, 2021
Hospitali ya Uhuru yaanza kutoa Huduma

Hospitali ya Uhuru yaanza kutoa Huduma

Jan 17, 2021
Next Post
Wafungwa Butimba Watoa Kero Zao kwa Rais Magufuli

Wafungwa Butimba Watoa Kero Zao kwa Rais Magufuli

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

July 2019
M T W T F S S
« Jun   Aug »
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In