Yusuph Mlela amefunguka baada ya taarifa zilizokuwa zinaendelea kwamba bifu lao hilo limetokana na wawili hao kugombea mwanamke.
“Hemed ni rafiki yangu sijawahi kugombana naye kabisa, hizo zilikuwa ni stori tu, hayo ni mambo tu yalitokea watu hawajui kiundani, ilikuwa ni kutoelewana kwa kawaida ila sasa hivi tupo vizuri, tunafanya kazi pamoja”.
Aidha msanii huyo amesema anapenda sana nywele zake kuliko kitu chochote, tangia ameanza kujitambua akiwa ana umri wa miaka 17 au 18 alikuwa anafuga nywele kwa mtindo wa Afro, kusuka au anaziachia anavyototaka.
Wateja wa Tigo Zanzibar kulipa bili za maji kwa Tigo Pesa
MAMLAKA ya Maji Visiwani Zanzibar (ZAWA), kwa...
Read more