Mwanaharakati Mzalendo

BARCA & MADRID RUKSA KUMSAJILI NEYMAR ILA KWA MASHARTI HAYA

Taarifa mpya za sakata la Neymar kurudi FC Barcelona au kwenda Real Madrid limechukua sura mpya sasa na kinachosemekana ni kuwa PSG wapo tayari kumtoa Neymar kwa mkopo wa mwaka mmoja lakini kuwe na kipengele cha kununuliwa kwa thamani ya Euro Milioni 220 mpaka 250 kwa klabu ambayo itamchukua majira haya ya kiangazi. 

Unadhani Neymar ataishia wapi msimu huu? 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *