Mwanaharakati Mzalendo

FAMILIA YA MAREHEMU NIPSEY HUSSLE KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MADENI HAYA

Kampuni ya American Express imeiburuza mahakamani familia ya marehemu Nipsey Hussle kwa madai ya mamilioni ya pesa. American Express kama taasisi ya Kifedha imedai kuwa Nipsey aliwahi kununua bidha/huduma kwa kutumia “Credit Card” zao bidhaa ambazo ziligharimu kiasi cha Tsh. Milioni 105.7 lakini hakuzilipa hadi anafariki. Hivyo wameifikisha familia yake mahakamani na kufungua shtaka la madai. 


Hili ni shtaka la pili kwa familia ya marehemu Nipsey Hussle tangu afariki, kampuni ya Paramount Recording Group walimshtaki Nip kwa madai ya milioni 73 za Kitanzania baada ya kushinda mgogoro wa kisheria dhidi yake. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *