Draw ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ilifanyika jana mioda ya saa moja jioni na kupata makundi 8 yatakayochuana kuwania kucheza fainali pale Istanbul hapo mwakani mwezi Mei au June. Yaangalie makundi haya halafu niambie kundi lipi ni gumu zaidi na unatabiri nani anapita kwenda hatua ya mtoano.
Nani anastahili Kuwa Mchezaji Bora Wa Wiki Wa Ligi Ya Mabingwa Barani Ulaya?
Baada ya mechi za ligi ya mabingwa...
Read more