Ebitoke alisema, hawezi kuidharau kazi hiyo wala kuwasema vibaya wanaoifanya kwa sababu anajua changamoto zake na wanaofanya siyo kwamba wanapenda.
Ninaheshimu uhudumu wa baa kwani kwangu ina mchango mkubwa katika maisha yangu najua changamoto zake na wale wanaofanya siyo kwamba wanapenda misukosuko ila ni shida tu,î alisema Ebitoke.