Mwanaharakati Mzalendo

NICKI MINAJ ADOKEZA KUHUSU KUWA MJAMZITO NA UJIO WA NDOA PIA

Nicki Minaj ameendelea kutung’ata sikio kuhusu kuwa mjamzito kwa mpenzi wake wa sasa Kenny Petty, amekuwa akiitumia Queen Radio na hata mistari mbali mbali kwenye ngoma na leo tena tumempata kwenye hii ya Chance The Rapper.Kupitia wimbo wa ‘Zanie and Fools’ ndani ya album ya “The Big Day” ya Chance iliyotoka Ijumaa, Minaj amechana:

“I met my husband when I was 17 out in Queens. If you love it let it go, now I know what means/While he was up North for a body/ I bodied everybody and got known for my body/ My nigga home now, he the Clyde to my Bonnie/Bout to walk down the aisle and be a mommy” – inasema mistari ya Nicki na kutudokeza pia kuhusu Ndoa.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *