Ronaldo Ataja Sababu Zinazomfanya Aone 2018 kuwa Mwaka Mbaya Zaidi Katika Maisha yake – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home CRISTIANO RONALDO

Ronaldo Ataja Sababu Zinazomfanya Aone 2018 kuwa Mwaka Mbaya Zaidi Katika Maisha yake

I am Magnifico by I am Magnifico
Aug 22, 2019
in CRISTIANO RONALDO, kathryn Mayorga
0 0
0
Ronaldo Ataja Sababu Zinazomfanya Aone 2018 kuwa Mwaka Mbaya Zaidi Katika Maisha yake
0
SHARES
69
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Cristiano Ronaldo alikuwa na tuhuma za ubakaji, kosa ambalo anadaiwa kulitenda miaka 10 iliyopita katika mji wa Las Vegas Marekani.



Tuhuma hizo zilifutiliwa mbali hivi karibuni baada ya mlalamikaji kushindwa kutoa uthibitisho wa kutosha kuhusiana na kesi hiyo.



Akihojiwa na kituo cha TV1 cha kwao Ureno, Ronaldo amesema kuwa tuhuma hizo ziilimfanya aone mwaka 2018 ndio mwaka mbaya zaidi katika maisha yake.


“2018 inawezekana ndio ukawa mwaka mbaya zaidi katika maisha yangu, binafsi nazungumza.

“Wakati mtu anakuwa ana swali juu ya heshima yako inaumiza, inaumiza sana” alisema Ronaldo

“Inaumiza sana kwasababu nina familia kubwa, mke na mtoto mwerevu ambaye anaweza kuelewa vitu vingi.

“Hili suala sipo vizuri kulielezea. Lakini kwa mara nyingine tena nimethibitika sina hatia, na imenifanya nijisikie fahari.”

Hata hivyo Ronaldo hakutaka kuzungumzia moja kwa moja tuhuma hizo zilizodaiwa kutokea mwaka 2009 kwa kudaiwa kumbaka mwanadada Kathryn Mayorga ambaye awali ilitajwa kuwa alipewa dola 375000 ili kusaini makubaliano ya kukaa kimya kuhusiana na suala hilo. 

Tags: MASTAAMICHEZOUBAKAJI
ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

Tetesi za soka Barani Ulaya leo 22/08/2019
ALEXIS

Tetesi za soka Barani Ulaya leo 22/08/2019

by I am Magnifico
Aug 22, 2019
0

Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Liverpool FC,...

Read more
JARIDA LA MARCA LAMTUNUKU CRISTIANO RONALDO TUZO HII YA HESHIMA

JARIDA LA MARCA LAMTUNUKU CRISTIANO RONALDO TUZO HII YA HESHIMA

Jul 30, 2019
‘UZI’ MPYA WA UGENINI WA JUVENTUS KWA MSIMU WA 2019/2020 HUU HAPA

‘UZI’ MPYA WA UGENINI WA JUVENTUS KWA MSIMU WA 2019/2020 HUU HAPA

Jul 25, 2019

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO ALHAMISI RONALDO, GUARDIOLA, OBLAK, ERIKSEN, HERRERA, POGBA, LUIS

Apr 25, 2019
USIKU WA ULAYA: BARCA WAMCHINJA UNITED, VIJANA WA AJAX WAMFANYA MBAYA BIBI KIZEE WA TURIN

USIKU WA ULAYA: BARCA WAMCHINJA UNITED, VIJANA WA AJAX WAMFANYA MBAYA BIBI KIZEE WA TURIN

Apr 17, 2019

CRISTIANO RONALDO MATATANI KWA AINA YA USHANGILIAJI WAKE DHIDI YA ATLETICO MADRID

Mar 19, 2019
Next Post
Nyota Wa Timu Ya Taifa Ya Uganda Asajiliwa Nchini Uturuki

Nyota Wa Timu Ya Taifa Ya Uganda Asajiliwa Nchini Uturuki

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

August 2019
M T W T F S S
« Jul   Sep »
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In