Mwanaharakati Mzalendo

Nani anastahili Kuwa Mchezaji Bora Wa Wiki Wa Ligi Ya Mabingwa Barani Ulaya?

Baada ya mechi za ligi ya mabingwa barani ulaya kwa wiki hii kuchezwa zote na kuisha sasa ni muda wa kupiga kura kujua mchezaji gani kafanya vyema zaidi. 
Hawa wafuatao ndio nyota 4 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Wiki wa UEFA Champions League. 
1. Marc-Andre ter Stegen (Barcelona) 
2. Angel Di Maria (Paris Saint-German) 
3. Mislav Orsic (Dimano Zagreb) 
4. Erling Braut Haaland (Redbull Salzburg)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *