Rais Magufuli amtumbua Mkuu wa Mkoa wa Morogoro…..Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ateuliwa Kuwa Balozi – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home IKULU

Rais Magufuli amtumbua Mkuu wa Mkoa wa Morogoro…..Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ateuliwa Kuwa Balozi

I am Magnifico by I am Magnifico
Sep 20, 2019
in IKULU
0 0
0
Rais Magufuli amtumbua Mkuu wa Mkoa wa Morogoro…..Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ateuliwa Kuwa Balozi
0
SHARES
95
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Lootha Sanare, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kuchukua nafasi ya Dkt. Steven Kebwe ambaye uteuzi wake umeteguliwa.

Akitangaza uteuzi na utenguzi huo leo Septemba 20, 2019 Katibu mkuu kiongozi  Balozi Mhandisi John Kijazi, ameeleza kuwa Rais amefanya uteuzi na mabadiliko kadhaa.

Aidha Rais Magufuli amemteua Musa Masele ambaye alikuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa wa Geita, kuwa mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro.

Mbali na teuzi hizo pia Rais amefanya mabadiliko ambapo, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Charles Kabeho, amehamishiwa wilaya ya Chato na Mkuu wa Wilaya ya Chato Msafiri Mtemi amehamishiwa Wilaya ya Tarime. 
Aidha, Rais Magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi 12 watakaowakilisha Tanzania nchi mbalimbali, katika uteuzi huo wamo pia Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Benson Bana na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dk Modestus Kipilimba.

Zaidi tazama Video hapo chini.

ADVERTISEMENT

tanga

ADVERTISEMENT
I am Magnifico

I am Magnifico

Related Posts

IKULU

#MUBASHARA;RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI. IKULU DSM

by I am Magnifico
Oct 28, 2019
0

Read more

Live: Makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 Iliyokamatwa Nchini Kenya Ikitokea Tanzania

Jul 24, 2019
Rais Kenyatta Asisitiza Umoja EAC, Afurahia Uongozi wa Magufuli

Rais Kenyatta Asisitiza Umoja EAC, Afurahia Uongozi wa Magufuli

Jul 5, 2019

LIVE ;ZIARA YA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI JIJINI MBEYA

Apr 27, 2019

LIVE ; Rais Magufuli akizindua ofisi za Mawaziri Dodoma

Apr 13, 2019

CAG AKABIDHI RIPOTI 17 ZA UKAGUZI KWA MHESHIMIWA RAISI

Apr 1, 2019
Next Post
Kampuni ya Vodacom yalipa Zaidi ya TZS bilioni 54.5 kama gawio kwa Wanahisa

Kampuni ya Vodacom yalipa Zaidi ya TZS bilioni 54.5 kama gawio kwa Wanahisa

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

September 2019
M T W T F S S
« Aug   Oct »
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In