Mwanaharakati Mzalendo

PICHA ;Tamasha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako lafana Sumbawanga


 Msanii wa Bongofleva Barnaba akiwajibika jukwaani wakati akitumbuiza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta SIZe Yako liliofanyika jana mjini Sumbawanga 
Msanii wa Bongofleva Barnaba akiwajibika jukwaani wakati akitumbuiza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta SIZe Yako liliofanyika jana mjini Sumbawanga 


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Joriii akiitawala jukwaa la Tigo Fiesta 2019 Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia leo
 

Msanii  wa bongoflava Jay Melody akiwa jukwaani katika tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo  mjini Sumbawanga


Msanii Badest akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta sumbawanga   jana

Mtangazaji  wa kipindi cha Double XXL kinachorushwa na radio ya crouds fm ambaye alikuwa moja washereheshaji katika tamasha la Tigo Fiesta  Sumbawanga  akiwa na wapenzi wa kipndi hicho  kutoka Sumbawanga

Mkuu wa wilaya  ya Sumbawanga Dr Alfani Haule akiburudika na mziki katika jukwaa la Tigo Fiesta.


 

Mkuu wa wilaya  ya Sumbawanga Dr Alfani Haule akiwa na mtangazaji wa Double XXL  katika jukwaa la Tigo Fiesta mwisho wa wiki .
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan  Haule akimtambulisha   mbunge wa Jimbo la Sumbawanga mjini  mh Aeshi Hilaly na kuchemza muziki   jukwaani  usiku wa kuamkia leo  Sumbawanga


Mbunge wa Sumbawanga mjini akiongea na wananchi walio hudhulia   kwenye tamasha la Tigo Fiesta  jana  Sumbawanga.

Msanii Marioo akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo Fiesta jana Sumbawanga

Msanii wa muziki wa injili Goodluck Gozbeth akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta jana Sumbawanga

Msanii wa bongo fleva  Joh Makini akiwa jukwaani  akitumbuiza kwenye Tigo Fiest 2019 sumbawanga usiku wa kuamkia leo

Msanii Mr Blue akitumbuIza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta  usiku wa kuamkia leo Sumbawanga
Maelfu ya wapenda burudani wa mkoa wa Rukwa na Mikoa ya karibu wakifurahia burudani mbali mbali zinazotolewa katika jukwaa la Tigo Fiesta saizi yako  Mjini Sumbawanga 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *