Mwanaharakati Mzalendo

Tigo Fiesta 2019 _SaiziYako Muleba ,burudani mwanzo mwisho

Msanii wa Bongo fleva Maua Sama, akitoa burudani kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.

Wasanii wa Bongo fleva Saida Karoli na Chege Chigunda, wakitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.

Wasanii wa Bongo fleva Bill Nas na Nandy wakitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.

Msanii wa Bongo fleva Whozu, akitoa burudani kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.

Msanii wa Bongo fleva Dogo Janja, akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.
Mashabiki wa burudani  wakionyesha shangwe la levels za Saizi Yako kwenye tamasha la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *