Mwanaharakati Mzalendo

Burna Boy amuangusha Harmonize kwenye tuzo za MTVEMABurna Boy amuangusha Harmonize kwenye tuzo za MTVEMA, ameshinda tuzo ya msanii bora wa Afrika (Best African Act).

Msanii huyo kutoka Nigeria, ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha “Best Africa ACT”, ambacho kilikuwa kikiwaniwa na mastaa tofauti kutoka Afrika ambao wamefanya vizuri kwa Mwaka 2019 .

Wasanii wakiwemo Nasty C ,Teniola, Toofan pamoja na Prince Kaybee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *