CHADEMA: “HATUTASUSIA TENA CHAGUZI ZIJAZO”

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Dodoma kimesema hakitaendelea kujitoa katika chaguzi zinazofuata ikiwemo Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020, bali kinaanza kutafuta majibu ya changamoto zilizopo kupitia Wananchi na vikao vya chama
Akizungumza na waandishi wa habari, ikiwa ni siku chache tangu Chama hicho kitangaze kutoshiriki uchaguzi Serikali za Mitaa, Msimamizi wa Uchaguzi wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma, Benson Kigaila amesema watatafuta majibu ili kupata suluhisho la changamoto
Hata hivyo, amesema hakuna mgombea yeyote wa chama hicho katika Mkoa wa Dodoma ambaye atashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *