Mwanaharakati Mzalendo

KADI NYEKUNDU YA SON YAPINDULIWA.

Tottenham itaweza kumwita kikosini mshambuliaji wake Son Heung-min   baada ya kadi nyekundu aliyopewa wakati wa mchezo wao na  Everton kupinduliwa.

Kadi nyekundu ya Son Heung-min kufuatia madhambi aliyofanya na kusababisha jeraha la kushangaza Kwa mchezaji wa Everton, Andew  Gomes kwenye mchezo wa Jumapili kati ya Tottenham na Everton imeondolewa baada ya kilabu hiyo kukata rufaa, Chama cha Soka (FA) kimetangaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *