Mwanaharakati Mzalendo

SAMATTA ATOA KAULI KWA WANAOGOMA KUCHEZA SOKA NJE – VIDEO


Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta amesema kuwa wachezaji wana tofautiana kifikra lakini kila mchezaji lengo lake afike mbali katika soka la kimataifa.

Hata hivyo Samatta amesema watanzania wanachotakiwa kuiombea timu ya Taifa kuelekea mechi ya kufuzu AFCON 2021Nchini Camerron.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *