Kesi ya rushwa inayomkabili Waziri Mkuu wa Israel kusikilizwa mwezi ujao – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home HABARI

Kesi ya rushwa inayomkabili Waziri Mkuu wa Israel kusikilizwa mwezi ujao

Mhariri by Mhariri
Feb 19, 2020
in HABARI
0 0
0
Kesi ya rushwa inayomkabili Waziri Mkuu wa Israel kusikilizwa mwezi ujao
3
SHARES
34
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Wizara ya sheria ya Israel imesema, kesi ya rushwa inayomkabili waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Benjamin Netanyahu itasikilizwa tarehe 17, mwezi wa Machi, wiki mbili baada ya uchaguzi mkuu wa tatu.

Bw. Netanyahu ambaye ni waziri mkuu wa kwanza wa Israel kushtakiwa akiwa madarakani, amekanusha mashtaka yote matatu ya rushwa yanayomkabili.

Wizara hiyo pia imesema, Bw. Netanyahu atatakiwa kwenda katika mahakama ya wilaya ya Jerusalem kusikiliza kesi yake hiyo inayomkabili kwa sasa.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Mhariri

Mhariri

Related Posts

Viongozi wanne kizimbani kuuza aridhi kinyume na sheria
HABARI

Viongozi wanne kizimbani kuuza aridhi kinyume na sheria

by Ombeni Osward
Jan 21, 2021
0

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

Read more
Waziri Mkuu aagiza na tozo za Mkonge zifanyiwe mapito

Waziri Mkuu aagiza na tozo za Mkonge zifanyiwe mapito

Jan 21, 2021
Zaidi ya Bilioni 800 kutumika ujenzi wa miundombinu ya maji nchini.

Zaidi ya Bilioni 800 kutumika ujenzi wa miundombinu ya maji nchini.

Jan 20, 2021
Bweni lililochomwa moto 2018 laungua tena,kura zapigwa kubaini mhusika

Bweni lililochomwa moto 2018 laungua tena,kura zapigwa kubaini mhusika

Jan 20, 2021
Waziri Jafo aagiza shule ya Msingi Nkuhungu kufanyiwa ukarabati haraka

Waziri Jafo aagiza shule ya Msingi Nkuhungu kufanyiwa ukarabati haraka

Jan 20, 2021
Dkt. Gwajima Akemea vikali Ubadhirifu wa Dawa

Vituo vya afya vyatakiwa kuwa na mkataba wa huduma Kwa wateja

Jan 20, 2021
Next Post
Waziri Jafo azindua Shule ya Msingi ‘Mavunde’ Jijini Dodoma

Waziri Jafo azindua Shule ya Msingi 'Mavunde' Jijini Dodoma

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

February 2020
M T W T F S S
« Jan   Mar »
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
242526272829  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In